Exodus 15:20

20 aKisha Miriamu yule nabii mke, ndugu yake Haruni, akachukua matari mkononi mwake na wanawake wote wakamfuata na matari yao wakicheza.
Copyright information for SwhKC